IDARA YAWAKILISHWA KWENYE KONGAMANO LA KITAIFA LA CHAKAMA TANZANIA
PDF version
Date and time: 
Tue, 2016-09-27 11:45
Location / Venue: 

Dar es Salaam, Tanzania

Dkt.Mbuthia apokea cheti chake kutoka kwa mgeni wa heshima Bi. Salma Kikwete

Bewa la Mwalimu J.K. Nyerere Chuo Kikuu  cha Dar-es Salaam

Walimu  wawili waliwasilisha makala  yao katika kongamano hilo. Dkt. Ayub Mukhwana, Mhadiri Mkuu  idara ya Kiswahili aliwasilisha makaola yake  yenye anwani: ‘’Nafasi ya Kiswahili miaka mia ijayo: matumaini na mikakakti yake” naye Dkt. Evans M. Mbuthia, Mhadiri Mkuu  Idara ya Kiswahili aliwasilisha makala yenye anwani: ‘’Nafasi ya hadithi za watoto katika kubuni mtazamo ulimwengu wao’’

Dkt. Mukhwana apokea cheti chake.

Bi. Salma Kikwete (kushoto) ambaye alikuwa Mgeni wa Heshima katika kongamano

Expiry Date: 
Tue, 2022-09-27 11:45