Prof. John Habwe Wins Wahome Mutahi Literary Prize (Kiswahili)
PDF version
Date and time: 
Tue, 2016-09-27 12:55

 Prof. John Habwe na mshindi kwa lugha ya Kiingereza Bw. Ng'ang'a Mbugua 

Prof. John Habwe wa Idara ya Kiswahili ndiye mshindi wa tuzo la kitaifa la Fasihi la Wahome Mutahi mwaka 2016. Dkt. Tom Olali, wa Idara ya Kiswahili pia, alishikilia nafasi ya pili naye Jeff Mandila akawa wa tatu. Riwaya iliyoshinda tuzo hilo ni Kovu Moyoni nayo ya Dkt. Olali ni Mashetani wa Alepo. Hii ni mara ya tatu kwa Prof. Habwe kushinda tuzo hilo. Dkt. Olali amewahi kuteuliwa mara tatu hapo awali. Prof. Mwenda Mbatiah wa Idara ya Kiswahili pia amewahi kuwa mshindi hapo awali.

Jalada la riwaya iliyoshinda

Mwandishi na msomi wa Kiswahili Prof. Kithaka wa Mberia

Cheti cha Dkt. Olali

 

Cheti cha Prof. Habwe

Jalada la riwaya ya Dkt. Olali

Expiry Date: 
Tue, 2022-09-27 12:55