Masters of Arts in Kiswahili Studies

 

Course Code Course Name Course Hours 

CLS 501 Advanced Swahili Phonology 45 

CLS 503 Theory Of Literature & Stylistics  45

CLL 505 Research Methods 45

CLS 511 Lexicography (elective) 45

CLS 509 Advanced Translation (elective) 45 

CLS 502 Swahili Drama 45 

CLS 504Epic And Long Poem 45

CLS 506 Advanced Morphology 45 

CLS 508 Comparative Literature (elective) 45

CLS 510 Oral Literature (elective) 45

CLS 601 Swahili Syntax 45

 CLS 603 Swahili Prose 45 

CLS 605 Sociolinguistics 45 

CLS 607 Historical & Comparative Bantu (elective) 45

CLS 602 Semantics & Pragmatics 45

CLS 604 Swahili Poetry 45 

CLS 606 Project 45

CLS 608 Dialectology (elective) 45 

MAOMBI YA KUJIUNGA KAMA MWANAFUNZI KATIKA KIWANGO CHA UZAMILI (M.A)

Ili kujiunga katika somo la uzamili unahitaji kutuma maombai kupitia tovuti ya Chuo Kikuu cha Nairobi (www.uonbi.ac.ke). Utapata mwongozo unaofaa kufuata hatua kwa hatua. Katika ombi lako unafaa kuambatisha:

  1. Nakala ya Cheti chako cha Kidato cha Nne kama ulipata alama ya C+ au bora zaidi, au

nakala ya Cheti chako cha Kidato cha Nne na cha stashahada kama ulipata alama ya C,

au

nakala Cheti chako cha Kidato cha Nne, stashahada na cheti kingine kama ulipata alama ya C-

  1. Nakala ya Cheti chako cha Shahada ya kwanza (Ni lazima uwe ulisoma Kiswahili katika shahada hiyo, kama ulipata Kiwango cha Pili (chini) Unafaa kuwa umekamilisha miaka miwili tangu kufuzu.
  2. Nakala za alama zako za matokeo katika kiwango cha shahada ya kwanza.
  3. Nakala hizo lazima ziwe zimethibishwa kuwa nakala za Cheti asili.

 

The MA Kiswahili programme has the three key objectives:

To train skilled professionals in Kiswahili Language, Linguistics and Literature

 Produce scholars who can comprehend the significance of Kiswahili Language and its contribution towards national and international development

To equip students with stock of capabilities particularly in research and publication.