Idara na Ushirikiano na mataifa mengine ya Kiafrika katika kukikuza Kiswahili.

Hivi, karibuni Dkt. Mungania aliiwakilisha Idara ya Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Nairobi
katika: UZINDUZI WA PROGRAMU YA KISWAHILI, CHUO KIKUU CHA CAPE
TOWN (UCT) tarehe 5, Oktoba 2023 kwa mwaliko wa chuo hicho. Hata hivyo, kwa uzalndo wake na hamu ya kukikuza Kiswahili, aligharamia safari yake. Tunajivunia kuwa na wana Idara ngangari.