Latest News & Announcements

Monday, July 11, 2022 - 22:32

Tourism CS Najib Balala: Kiswahili ni lugha ya raha. Ukiwa na hamu ya kumtongoza mtu kibiashara, kimaendeleo na kimapenzi, lugha ya pekee ni Kiswahili.

Monday, July 11, 2022 - 22:24

In the 1950s the United Nations established the Kiswahili language unit of United Nations Radio, and today Kiswahili is the only African language within the Directorate of the Global Communications at the United Nations. The United Nations General Assembly, through its

Read more
Monday, July 11, 2022 - 22:02

Mwinyimsa alijuzwa kwangu mkereketwa mkubwa wa Kiswahili, Wambugu Yusuf. Wote wawili waliniuliza swali, “Prof, kuna mipango ipi kuhusu maadhimisho ya siku ya Kiswahili?” Niliwajibu nilivyowezeshwa.

Siku iliyofuata Henry Indindi, mwanafunzi wangu wa zamani kama vile Yusuf, aliniuliza

Read more
Expiry Date