Ruwaza, Mwito na Msingi wa Kimaadili

 Ruwaza

Kuwa mstari wa mbele katika usomi  na utafiti kwa Kiswahili ulimwenguni

Mwito
 • Kutoa viwango bora sana vya ufundishaji wa Kiswahili
 • Kutoa viwango bora sana vya utafiti katika Kiswahili 
 • Kuhakikisha kwamba kuna mazingira bora ya kufanyia utafiti katika Kiswahili 
 • Kuwezesha mafunzo na ushauri kwa waandishi wachanga na waelimishaji katika Kiswahili 
 • Kuandika fasihi ya viwango vya juu vya bunilizi na vitabu vya kufundishia darasani   
Msingi wa Kimaadili
 • Uhuru wa kuzungumza na kujieleza 
 • Ubunifu na maarifa
 • Uwajibikaji
 • Ushirikiano na moyo wa umoja
 • Huduma ya hali ya juu 
 • Utaaluma   
 • Kuthamini haki za kimsingi za kibnadamu