Jarida la Heshima

Tazama hapa chini mwito wa makala kwa heshima ya Profesa Said Ahmed Mohamed wa Zanzibar.

Tumeni makala!

image
Mwito wa kutuma makala kwa jarida la kumhenzi Said Ahmed Mohamed umetolewa. Wanaidara ya Kiswahili Chuo Kikuu cha Nairobi, mnaombwa kutuma makala.!