Latest News & Announcements

Sunday, March 10, 2024 - 09:16

Wanaidara katika Kongamano la 24 CHAKITa lililofanyika Chuo Kikuu cha Sayansi Teknolojia cha Masinde Muliro Tarehe 7-8 Machi 2024. Kaulimbiu;

Kiswahili na Uchumi wa Kidijitali 

Sunday, March 10, 2024 - 09:09

Chansela, na  Balozi Gentiana Serbu wa Romania wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya kuadimisha siku ya mama

Sunday, March 10, 2024 - 08:59

Prof. Iribe akipokelewa na makamu wa chansela  Prof Henry K. Kiplagat, wa Chuo Kikuu cha Kabarak ili kutoa wasilisho siku ya kuadimisha lugha za mama ulimwenguni 

Sunday, March 10, 2024 - 07:38

Prof. Iribe akipokea zawadi kutoka kwa Makamu wa Chacela Prof Henry K. Kiplagat siku ya kuadhimisha siku ya lugha za mama