Kongamano la CHAUKIDU, Arusha

CHAUKIDU, ARUSHA

Kongamano la CHAUKIDU linafanyika leo tarehe 15 Disemba hadi Tarehe 17 Disemba. Wadhiri waliosafiri kwa ajili ya kushiriki kongamano hilo ni pamoja na : Prof Rayya, Prof. Iribe, Prof. Mbuthia, Prof. Wamitila, Dkt. Ndung'o, Dkt. Sanja, Mwal. Watuha na Mwl. Judy. Natumai wataweza kujifunza mengi.