Prof. Mbatia anazindua tamthilia mpya

Wanna Idara wanazidi kung'ara. Prof. Mbatia anazindua tamthilia mpya kwa ajili ya Gredi ya nane mtaala mpya. Mada ya Tamthilia hiyo ni; Maisha Mapya. Idara inamhongera sana Prof Mwenda Mbatia kwa uzinduzi huo.