CHAWAKAMA -Chuka University

Wanafunzi wa CHAKINA walihudhuria kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Chuka Nov. 2023 . Walezi wao ni Prof Mbuthia na Dkt Mary Ndung'u