Kongamano la 21 la Kimataifa la Chakita

Kongamano la 21 la Kimataifa la Chakita lenye kauli mbiu "Kiswahili na Maendeleo Endelevu" klilifanyika katika Chuo Kikuu cha Karatina mnamo Agosti 8-9, 2019. Idara ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Nairobi iliwakilishwa ipasavyo!