Wazamifu waliofuzu katika mahafali ya sitini na tano Chuo kikuu cha Nairobi

Dkt Rose Kawira (Kushoto na Dkt. Josphat Gitonga. Katikati ni Profesa Mbuthia aliyemsimamia Dkt. Silas Thuranira (Aliyeaga siku chache kabla ya mahafali)

Idara ya Kiswahili iliwezesha wanafunzi wanane wa uzamili na wanne wa uzamifu  kufuzu tarehe 16 Desemba 2023. Wazamifu waliofuzu ni pamoja na;

1. Dkt. Josphat Gitonga

2. Dkt. Sanja Leonard 

3. Dkt. Silas Thuranira (aliaga dunia siku chache kabla ya mahafala)

4. Dkt. Rose Kawira