0
Profesa Iribe, mwenyekiti wa Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Nairobi
Profesa Iribe mwenyekiti wa Idara ya kiswahili pamoja na wenyekiti wa idara mbalimbali katika Mahafala ya tarehe 16 Disemba 2022
Profesa Iribe mwenyekiti wa Idara ya kiswahili pamoja na wenyekiti wa idara mbalimbali katika Mahafala ya tarehe 16 Disemba 2022
Mwandishi wa Sauti ya Dhiki Abdilatif Abdallah aliitembelea Idara mnamo tarehe 21 Novemba, 2022.
Alipokelewa vyema na Prof. Iribe, mwenyekiti wa idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Nairobi.