0
Mwandishi wa Sauti ya Dhiki Abdilatif Abdallah aliitembelea Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Nairobi
Mwandishi wa Sauti ya Dhiki Abdilatif Abdallah aliitembelea Idara mnamo tarehe 21 Novemba, 2022.
Alipokelewa vyema na Prof. Iribe, mwenyekiti wa idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Nairobi.