- Ruwaza
-
Kuwa mstari wa mbele katika usomi na utafiti kwa Kiswahili ulimwenguni
- Mwito
-
- Kutoa viwango bora sana vya ufundishaji wa Kiswahili
- Kutoa viwango bora sana vya utafiti katika Kiswahili
- Kuhakikisha kwamba kuna mazingira bora ya kufanyia utafiti katika Kiswahili
- Kuwezesha mafunzo na ushauri kwa waandishi wachanga na waelimishaji katika Kiswahili
- Kuandika fasihi ya viwango vya juu vya bunilizi na vitabu vya kufundishia darasani
- Msingi wa Kimaadili
-
- Uhuru wa kuzungumza na kujieleza
- Ubunifu na maarifa
- Uwajibikaji
- Ushirikiano na moyo wa umoja
- Huduma ya hali ya juu
- Utaaluma
- Kuthamini haki za kimsingi za kibnadamu