CLK 404: Kiswahili Oral Literature and Culture 2019 Coastal Tour with Prof.Tom Olali

Wanafunzi wa Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Nairobi wanaosomea kozi ya CLK 404: Kiswahili Oral Literature and Culture chini ya usimamizi wa Prof.Tom Olali wakipata mafunzo maalum ya moja kwa moja ya jinsi ya kutayarisha biriani ya nyama. Hapa wanaonyeshwa hatua hizo na Bi. Lulu Ali, Amira Msellem  na Dia Chuda kule Kibokoni, Mji wa Kale.