Dhifa ya kumuaga Prof. Mohamed Hassan Abdulaziz

Profesa Mohammed Hassan Abdulaziz alijumuika na wanaidara wengine katika hafla ya kumuaga alipostaafu mnamo tarehe 6 Agosti, 2019. Tunamtakia kila la heri wakati anapostaafu.Hata hivyo, wengi wangali wanamtegemea kwa ushauri wa kiusomi na mambo mengi tu! Prof. Mohammed Abdulaziz na Prof. Tom Olali walisomea Chuo Kikuu cha London, SOAS.