Dkt Sanja Azindua Riwaya Mpya. Hongera

Dkt Sanja Leonard Azindua Riwaya Mpya

Binadamu anaweza kuchagua kuwa mwema ama mui kutegemea hulka yake. Hata hivyo, mazingira pia huwa na athari katika kukuza hulka ya mtu. Ni uteuzi