ICC-K Christmas Production | THE KING IS BORN | 27th Dec 2020

https://m.youtube.com/watch?v=x-Zns3eEzBg&feature=youtu.be

 

Sanaa ya utendaji ni mojawapo ya kozi zinazofundishwa katika idara ya Kiswahili.Chuo kinasisitiza uwajibikaji wa uenezaji na ushirikiano na jamii ya nje ya Chuo.Kwa matlaba hii, wanaidara kwa mfano Prof.Tom Olali anaandika, kuelekeza, kupanga vipodozi na maleba kwenye michezo mbalimbali hususan za Noeli, pasaka na kadhalika.