Prof. Rayya Ujerumani

Prof. Rayya Timammy akiwa na watunzi wengine Ujerumani katika hafla ya kuzindua diwani yao ya ushairi ambako yeye ndiye aliandika dibaji.Aliandamana na Abdilatif Abdalla,Topan Farouk na Ustadh Mahmoud Abdulkadir (mshairi) Abdilatif Abdalla.

Kwa mara nyingine, Idara iliwakilishwa vyema katika semina na uchapishaji.