Ukuzaji wa Kiswahili Duniani(CHAUKIDU), Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, Disemba 2018

Kutoka kushoto ni Prof. Iribe wa Mwangi, Prof. Kyalo Wadi Wamitila, Prof. Rayya Timmamy, Dkt. Evans Mbuthia na Bi. Mary Ndung'u wakati wa Kongamano la Nne la Kimataifa la Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani (Chaukidu) lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, kisiwani Unguja, mwezi Disemba 2018.