Sherehe za Mahafali ya 64, Chuo Kikuu cha Nairobi - Ijumaa, Desemba 11, 2020

Sherehe za Mahafali ya 64, Chuo Kikuu cha Nairobi - Ijumaa, Desemba 11, 2020

Sherehe hizi zitafanyika mnamo tarehe 11 Desemba kuanzia saa mbili asubuhi. Sherehe hizi zitafanyika kupitia mtandao kutokana na janga la Korona. Kati ya watakaofuzu ni wazamifu 66. Hii ni sherehe ya pili kufanyika kwa njia ya mtandao huku ya kwanza ikifanyika tarehe 25 Septemba, 2020. Ndaki yetu ya Insia na Sayanzi za Jamii ndiyo itakayokuwa na washiriki wengi kabisa. Hafla hii itapeperushwa mtandaoni kupitia viungo vifuatavyo ; www.uonbi.ac.ke.ke/livestream na facebook.com/uonbi.ac.ke. Habari zaidi tazama kwenye tovuti kuu ya Chuo  https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=&cad=rja&uact=8&ved=2ahUKEwiWt8DwgMPtAhXrTRUIHVpjBqAQFjAAegQIAxAC&url=https%3A%2F%2Fwww.uonbi.ac.ke%2Fnews%2F64th-graduation-ceremony-%25E2%2580%2593-friday-december-11-2020&usg=AOvVaw3zo3b1WqSBhZvDOX7cZ7gQ