Wazamifu waliofuzu katika mahafali ya sitini na tano Chuo kikuu cha Nairobi
Idara ya Kiswahili iliwezesha wanafunzi wanane wa uzamili na wanne wa uzamifu kufuzu tarehe 16 Desemba 2023. Wazamifu waliofuzu ni pamoja na;
1. Dkt. Josphat Gitonga
2. Dkt. Sanja Leonard
3. Dkt. Silas Thuranira (aliaga dunia siku chache kabla ya mahafala)
4. Dkt. Rose Kawira