Latest News & Announcements

Tuesday, February 24, 2026 - 15:24

Idara ya Kiswahili inashiriki kwa huzuni kubwa kifo cha Dkt. Basilio Gichobi Mungania, kilichotokea Alhamisi, 20 Februari 2026. Dkt. Mungania alichangia kwa kiasi kikubwa katika taaluma ya Kiswahili na elimu ya juu, na mchango wake utaendelea kukumbukwa na

Read more
Sunday, August 31, 2025 - 09:53

Jumanne, Agosti 19, 2025

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Nairobi inaomboleza kifo cha Profesa John Hamu Habwe, msomi mashuhuri, mwandishi na mlezi wa kizazi cha wasomi wa Kiswahili ambaye alilihudumia Chuo kwa zaidi ya miongo mitatu kwa bidii na uadilifu.

Sunday, March 10, 2024 - 09:16

Wanaidara katika Kongamano la 24 CHAKITa lililofanyika Chuo Kikuu cha Sayansi Teknolojia cha Masinde Muliro Tarehe 7-8 Machi 2024. Kaulimbiu;

Kiswahili na Uchumi wa Kidijitali 

Sunday, March 10, 2024 - 09:09

Chansela, na  Balozi Gentiana Serbu wa Romania wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya kuadimisha siku ya mama