Prof. Rayya Ujerumani
Kwa mara nyingine, Idara iliwakilishwa vyema katika semina na uchapishaji.
- Read more about Prof. Rayya Ujerumani
- Log in to post comments
Kwa mara nyingine, Idara iliwakilishwa vyema katika semina na uchapishaji.
University of Nairobi is offering masters scholarships for the 2023/2024 academic year. The applications are open only to applicants for the September 2023 intake.
General guidelines to applicants:
Eligible applicants must meet the following criteria among other specific criteria by their respective units.
Waziri, katika Wizara ya Utalii, Wanyamapori na Turathi, Mhe. Peninah Malonza, leo hii amejumuika na wakaazi wa Mombasa ili kuadhimisha Siku ya Kiswahili duniani.
Maadhimisho hayo yalianza na msafara ulioanzia Mapemebeni, na kuelekea hadi kituo cha Utamaduni wa Waswahili, pembezoni Ngomeni.
Novemba 23, 2021, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), liliteua Julai 7 kuwa siku rasmi ya kuadhimisha lugha ya Kiswahili duniani, hivyo basi, kuzifanya sherehe hizo kua za pili tangu uteuzi huo.
Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani tarehe Saba, Mwezi Julai 2023 ni “Kiswahili kwa Amani na Ustawi.” Lengo kuu la maadhimisho haya ni kusaidia kunogesha matumizi ya lugha ya Kiswahili kama nguvu ya amani, ustawi na maendeleo endelevu ya binadamu sanjari na mchakato wa kuimarisha tamaduni mbalimbali. Siku hii ilianzishwa na UNESCO tarehe 23 Novemba 2021 na kuanza kuadhimishwa tarehe 7 Julai 2022. Leo tunayo Historia ya Kiswahili.
Idara ya Kiswahili Chuo Kikuu cha Nairobi kilishiriki katika hafla hiyo kikamilifu.
Kiswahili kimempoteza Prof. Abdulaziz Nasir. Mengi zaidi kumhusu yameelezwa kwenye Makala ya mwenyekiti, Chuo Kikuu cha Nairobi, Kwenye Taifa Leo.
Profesa Iribe mwenyekiti wa Idara ya kiswahili pamoja na wenyekiti wa idara mbalimbali katika Mahafala ya tarehe 16 Disemba 2022
Mwandishi wa Sauti ya Dhiki Abdilatif Abdallah aliitembelea Idara mnamo tarehe 21 Novemba, 2022.
Alipokelewa vyema na Prof. Iribe, mwenyekiti wa idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Nairobi.