Good morning,
The Library Department invites you to the 7th Library Open week scheduled from April 14- 16, 2021.
Hongera Prof. Iribe kwa kuteuliwa kama mmoja wa wajumbe wa bodi CHAUKIDU. Idara ya Kiswahili itawakilishwa kikamilifu kupitia wadhifa huo. Hongera tena
MADA KUU: Hali ya Ufundishaji Kiswahili Ulimwenguni Sasa na Baadaye
Tarehe: Jumamosi 10 Aprili,2021
Muda saa 10-1 jioni (4pm-7pm EAT)
wageni Rasmi prof.Abdilatiff Abdullah,Bi.Aidah Mutenyo.Dkt.Mosol Kandahar, Prof F.E.M.K Senkoro
Mratibu
Bi.Phibbian Muthama
Prof.Leonard Muaka.
Mwenyeji Writers Guild Kenya,Chaukidu.
Kiunganishi
https://howard.zoom.us/j/82158443516?pwd=SE5hT3hzM1YzcjlTRUo1VlIzSlJlQT09
: 821 5844 3516
Utambulisho: 71711808
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu Makubaliano ya Kibiashara baina ya Kenya na Uingereza -
Je, Kiswahili kinaweza kunufaisha vipi kufuatia mchakato huu wa biashara?
JAMHURI YA KENYA
WIZARA YA VIWANDA, BIASHARA NA UKUAJI WA KIBIASHARA
IDARA YA SERIKALI YA BIASHARA NA UKUAJI WA KIBIASHARA
https://m.youtube.com/watch?v=x-Zns3eEzBg&feature=youtu.be
Sanaa ya utendaji ni mojawapo ya kozi zinazofundishwa katika idara ya Kiswahili.Chuo kinasisitiza uwajibikaji wa uenezaji na ushirikiano na jamii ya nje ya Chuo.Kwa matlaba hii, wanaidara kwa mfano Prof.Tom Olali anaandika, kuelekeza, kupanga vipodozi na maleba kwenye michezo mbalimbali hususan za Noeli, pasaka na kadhalika.
WIZARA YA VIWANDA, BIASHARA NA UKUAJI WA KIBIASHARA
OFISI YA KATIBU WA WIZARA